Brussels bado katika hali ya tahadhari

Vikosi vya usalama vikiendelea na msako katika mitaa ya Brussels.

Brussels ingali katika hali ya tahadhari huku kukiwa na vitisho vingine vya mashambulizi.

Njia za usafiri wa treni za mjini maeneo ya michezo na maduka yangali yamefungwa Jumapili.