Milipuko miwli yatokea wakati wa mbio ndefu za Boston marathon

Picha ya video ya kituo cha WBZ TV, ambapo watu na wanariadha wakikimbia kutoka mahala inayosemekana mabomu mawili yalilipuka moja baada ya nyingine. Aprili 15, 2013.

Wafanyakazi wa huduma za afya wakiwasaidia watu kwenye eneo la kumalizika mbiyo za Marathon ya Boston 2013.  April 15, 2013.

Wafanyakazi wa afya wakimbeba mtu aliyejeruhiwa upande wa pili wa tepu ya kumaliza mbiyo za Boston kufuatia mlipuko wa bomu. April 15, 2013.

Mwanamke akiikumbatiwa na mwanamume anaemtuliza baada ya milipuko miwili karibu na hema ya huduma za dharura, Boston, Massachusetts, Aprili 15, 2013.

Wafanyakazi wa afya wanasukuma gari la mgonjwa wakimpeleka mtu aliyejeruhiwa kwenye eneo la hema ya huduma za dharura upande wa pili wa eneo la kumaliza mbio za Marathon za Boston. Aprili 15, 2013.

Wafanyakazi wa afya wanasukuma gari la mgonjwa wakimpeleka mwanamke aliyejeruhiwa kwenye eneo la hema ya huduma za dharura upande wa pili wa eneo la kumaliza mbio za Marathon za Boston. Aprili 15, 2013..

Mkimbiaji wa Marathon asiyejulikana akiondoka kwenye mashindano akilia karibu na uwanja wa Copley baada ya milipuko huko Boston, Aprili 15, 2013.

Wafanyakazi wa huduma za afya wakiwasaidia watu baada ya mlipuko.April 15, 2013.

Runner John Ounao crying when he finds friends after several explosions rocked the finish of the Boston Marathon, April 15, 2013.

A runner in a wheelchair is taken from a triage tent after explosions went off at the 117th Boston Marathon in Boston, Massachusetts April 15, 2013.

Moja wapo ya eneo la mlipuko kwenye barabara ya  Boylston Street karibu na mahala ya kumaliza mbiyo za Marathon ya Boston, Aprili 15, 2013.

Polisi analinda eneo ambalo kuna hema ya huduma za dharura karibu na eneo ambalo mabomu yaluilipuka huko Boston, April 15, 2013.

Justine Franco wa Montpelier, Vermont, akibeba bango lenye jina la rafiki yake April, kwenye uwanja wa Copley ambae alishiriki kwa mara ya kwanza mbiyo za Marathon ya Boston,  April 15, 2013.

Rais Barack Obama akiondoka kwenye jukwa baada ya kuzungumza kwenye chumba cha waandishi habari  cha  White House, April 15, 2013, kufuatia milipuko kwenye mbiyo za Marathon ya Boston