Bola Tinubu atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Bola Tinubu wa chama kinacho tawala cha All Progressive Congess ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Nigeria huku wagombea wengine wawili katika kinyang'anyiro cha urais wakitaka upigaji kura huo kurudiwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea matokeo hayo....