Sanders amuunga mkono Clinton
Sanders atangaza kupatana na Clinton wakai wa mkutano huko Portsmouth, Julai 12 2016.
Sanders akubali kwamba Clinton ni mshindi wa chama cha Democratic ili kugombania kiti cha rais
Wafuasi wa Hillary Clinton na Bernie Sanders waimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huko Portsmouth, Julai 12, 2016,
Wanaharakati wa chama cha Demokratic wakati wa mkutano wa Portsmouth, Julai 12, 2016.
Mgopmbea kiti cha rais wa chama cha Demokratic Hillary Clinton, akifuatanma na Seneta Bernie Sanders, fwakiingia kwenye mkutano wa Portsmouth, 12 Juillet, 2016.
Le sénateur Bernie Sanders, a endosé la candidature de l'ancienne sécrétaire d'état Hillary Clinton à Portsmouth, 12 juillet 2016.
Wanaharakati wa chama cha Demokratic wakati wa mkutano wa Portsmouth, Julai 12, 2016.