Baraza la Seneti la Marekani lapitisha muswaada wa uzalishaji microchip

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya mwaka mmoja Baraza la Seneti limepitisha muswaada wa kuhamasisha uzalishaji wa vipuli aina ya microchip vinavyotumika katika uzalishaji viwandani ambapo itafufua ari ya uvumbuzi na ugunduzi katika teknolojia nchini Marekani.