Duniani Leo : Mei 13 : Baadhi ya Waislam waanza kusheherekea Idd el Fitr

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya Waumini wa KIislam wameanza kusheherekea Sikukuu ya Eid ef Fitr Alhamisi kufuatia kukamilika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.