Shambulizi la kigaidi Bamako, Mali

Watu wanakimbia kuepuka mashambulizi mjini Bamako, Mali

Watu wamekusanyika wakiangali kinachotokea katika hoteli ya Radisson Blu baada ya uvamizi Bamako, Mali, Ijumaa, Nov. 20, 2015.

Wanajeshi wa Mali wakiwa wanajipanga nje ya hoteli ya Radisson Blu hotel. 

Ramani inayoonyesha ilipo hoteli ya Radisson Blu, Bamako, Mali

Wavamizi wenye silaha waliingia katika hoteli ya Raddison mjini Bamako, Mali na kuchukua mateka.