Asilimia 64 ya Wamarekani waamini Biden hakushughulikia nyaraka za siri kwa njia sahihi

Your browser doesn’t support HTML5

Ukusanyaji mpya wa  maoni unaonyesha asilimia 64 ya Wamarekani wanaamini Rais wa Marekani Joe Biden jinsi alivyoshughulikia nyaraka za siri haikuwa kwa njia sahihi.

Wachunguzi bado wanatafuta kujua ni kwa nini mtu mwenye miaka 72 alifyatua risasi katika ukumbi wa dansi mjini California, ambao ni maarufu kwa watu wazee na kuua watu 10.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari