Waandamanaji wa mrengo wa kulia washambulia waombolezi Brussels
Jumapili ya Pasaka ilianza kwa amani pale mamia ya watu walipojitokeza na kutoa heshima zao kwa waathiriwa wa mabomu ya kigaidi ya Brussels, Ubelgiji, March 27, 2016. (H. Murdock/VOA)
Mnamo wiki nzima uwanja mbele ya jengo la soko la hisa la Ubelgiji umegeuka kua eneo la makumbusho ya waathiriwa wa mabomu ya Brussels na kutolewa ujumbe wa umoja. Na bango linalosema sio kwa jina la Uislamu. (H.Murdock/VOA)
Wanaharakati wa mrengo wa kulia walipojitokeza waombolezi wakawazomea na kuwaeleza kua ni mafashisti. (H. Murdock/VOA)
Polisi wa usalama waliongezwa mara moja katika eneo la makumbusho ambalo tayari lilikua linalindwa vikali siku ya Pasaka wakati wanaharakati wa mrengo mkali wa kulia kujitokeza na kupiga makelele wakitumia makauli kulaani uislamu mjini Brussels. (H. Murdock/VOA)
Polisi wa kupambana na ghasia wajitayarisha kumaliza malalamiko ya wanaharakati wa mrengo wa kulia wenye itikadi kali.(H. Murdock/VOA)
Wanaharakati wa itidaki kadi za mrengo wa kulia wamechafua barabara wakati polisi wakiwafukuza kutoka kati kati ya Brussels. (H. Murdock/VOA)
Calling themselves ‘Casuals Against Terrorism’ the group set off flares and was eventually repelled with water cannons. (H. Murdock/VOA)
Polisi wa kupambana na ghasia wakijipanga na kusomngea mbele. huko Brussels. (H. Murdock/VOA)