Mwanamuziki: Amapiano ni zaidi ya muziki, ni vuguvugu la kiutamaduni

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamuziki Kampo Mphela anasema muziki wa vuguvugu la utamaduni wa Afrika Kusini, Amapiano, unaendelea kupata umaarufu duniani na wiki hii mwandishi wetu Harrison Kamau anaangaza yale yaliojiri New York katika burudani mbalimbali kikiwemo kikundi hicho cha muziki.