Ajali za barabani zauwa watu 20 nchini Kenya

Ajali ya basi la abiria .

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya acccidents

Takriban watu 20 wamefariki nchini Kenya katika ajali tofauti za barabarani wakati wa sikukuu ya Krismasi. Hiyo ni kwa mujib wa ripoti iliotolewa na idara ya traffic nchini humo. Polisi inasema imekuwa na wakati mgumu kuwaandama madereva waliokiuka sheria za barabarani na wengine wakikamatwa kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa.