Afrika Mashariki yapewa fursa ya kuwania uwenyekiti wa Umoja wa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Afrika umefanya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa mwenyekiti wa tume ya umoja huo na kutoa fursa ya moja kwa moja kwa jumuiya ya Afrika Mashariki kushikilia nafasi hiyo. Kenya imemtangaza kiongozi wa upinzani Raila Odinga kugombea nafasi hiyo, na imeanza kampeni.