Sri Lanka yateketeza pembe za ndovu kutoka Tanzania na Msumbiji.

Pembe za ndovu zilizokamatwa miaka mitatu iliyopita zimeonyeshwa kabla ya kuharibiwa katika mji wa Colombo, Sri lanka.