AFCON 2022: Timu zaruhusiwa kubadilisha hadi wachezaji watano

Your browser doesn’t support HTML5

Shirikisho la Soka CAF limethibitisha timu zitaruhusiwa kubadilisha hadi wachezaji watano katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuzisaidia kutokana na athari za kukosekana wachezaji kutokana na COVID-19.