AFCON 2022 : Timu ya Comoros yaishitua dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Comoros imewacharaza miamba wa soka Afrika, Ghana, katika michuano ya Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika huko Cameroon na kuwashtua wapenzi wa soka ulimwenguni, ikionyesha kuimarika kwao.