Shambulizi katika klabu ya wapenzi wa jinsia moja Orlando

Marafiki na familia wakifarijiana nje ya makao makuu ya polisi ya Orlando Police baada ya shambulio katika klabu ya Pulse,  Orlando, Florida, June 12, 2016.

Maafisa wa usalama wawasili katika makao makuu ya Polisi ya Orlando Police baada ya shambulizi katika klabu ya Pulse, Orlando, Florida, June 12, 2016.

Demetrice Naulings analia nje ya makao makuu ya [polisi ya Orlando Police ambako mashahidi wanahojiwa kufuatia shambulio kwente klabu ya Pulse, Orlando, Florida, June 12, 2016.

Wafanyakazi wa huduma za dharura katika hospitali ya wilaya ya Orlando wakijitayarisha kuwatibu waathiriwa wa shambulio la Pulse huko Orlando, Florida, June 12, 2016.

Afisa wa kikosi maalum cha kukabiliana na ghasia  SWAT akiwasili katika tukio la shambulio kwenye klabu ya  Pulse huko Orlando, Florida, June 12, 2016.

Polisi wa Orlando wakiwaelekeza jamaa na familia ya waathiriwa wa shambulio la klabu ya Pulse Orlando, Florida, June 12, 2016.

Police cars and fire trucks are seen outside the Pulse night club after a mass shooting, Orlando, Florida, June 12, 2016.