Chanjo mpya ya Malaria

Wataalamu wa Malaria wanaokutana mjini Nairobi wasema chanjo mpya imegunduliwa ya kujikinga na ugonjwa huo. Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yuko Harare kwa mazungumzo maalum.