Safari za ndege Kenya zaanza tena

Shirika la ndege la Kenya Airways leo limerudia tena safari zake za kawaida kutoka Ulaya hadi mjini Nairobi