Kampala

Chama kimoja cha upinzani Uganda kimemchagua Kizza Besigye kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu mwaka ujao.