Habari Sudan 14 Aprili, 2010 Chama tawala nchini Sudan kinasema kitajumuisha makundi ya upinzani kuungana na serikali kama kitashinda uchaguzi mkuu.