Wabunge wapinga katiba Kenya

Zaidi ya wabunge 30 nchi Kenya wanapinga kupitishwa kwa rasimu ya katiba mpya wakidai ina makosa mengi.