ICC haina mashahidi Kenya

Kiongozi wa mashitaka katika mahakama ya ICC asema mahakama hiyo haijawatambua rasmi mashahidi wowote Kenya katika kesi dhidi ya watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi mkuu uliopita.