Luis Moreno Kenya

Kiongozi wa mashtaki kwenye mahakama ya ICC Luis Moreno Ocampo anatarajiwa kuwasilisha mahakamani majina ya watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi mkuu nchini Kenya.