Balozi Kiplagat akataa kujiuzulu

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Maridhiano nchini Kenya Balozi Bethwell Kiplagat amesema hawezi kujiuzulu wadhifa huo kwa sababu madai anayotuhumiwa ni ya uongo.