Yar'adua

Afisa wa serikali nchini Nigeria amesema Makamu wa Rais Jonathan Goodluck ataendelea kuongoza nchi wakati Rais Umaru Yar’adua anaendelea kupata nafuu.