dharuba kali yafunga tena Washington

Dharuba kali yafunga serekali na usafiri wote mjini Washington na majimbo jirani ya kanda ya Atlantic kwa siku ya 3. Usafiri wa ndege umesita pia.