Mombasa

Waziri wa uchukuzi wa Kenya Ali Chirau Mwakwere amepoteza kiti chake cha ubunge huko Matuga baada ya mahakama mjini Mombasa kumkuta na makosa yanayohusiana na uchaguzi.