Marekani

Raia watano wa Marekani waliokamatwa kwa kushukiwa magaidi huko Pakistan wanasema hawana hatia na kwamba wanateswa na wachunguzi wa Marekani na polisi wa Pakistan huko kizuizini.