Mogadish

Mapigano makali kati ya waasi wa Somalia na walinda amani wa Umoja wa Afrika yamewauwa watu 12 leo na kuwajeruhi zaidi ya 20 wengine.