Mogadishu

Kundi la wanamgambo wa al-Shabab nchini Somalia limedai kuhusika na shambulizi la mauaji kwenye kituo cha walinda amani wa Umoja wa Afrika katika mji mkuu Mogadishu.