Yar'Adua

Mahakama ya Nigeria imetoa siku 14 kwa baraza la mawaziri kuamua kama Rais Umaru Yar’Adua ambae amekuwa akipatiwa matibabu nje ya nchi bado anafaa kuongoza nchi.