Habari News 21 Januari, 2010 Serikali ya Kenya inasema imefanikiwa kumuondoa nchini humo Shekhe Abdullah Al Faisal, Shekhe wa ki-Islam kutoka Jamaica.