Miti

Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga wanatarajiwa kulingoza taifa katika zoezi laupandaji miti katika msitu wa Mau ulioharibiwa, zoezi litafanyika Ijumaa.