Abuja

Makamu Rais wa Nigeria ametoa hotuba ya mwaka mpya kwa kuihakikishia nchi kwamba Rais wa nchi bado yupo madarakani.