Marekani

Rais Obama wa Marekani anasema idara za usalama za serikali zilishindwa kufanya kazi zake vizuri na kupelekea jaribio la bomu lililoshindikana siku ya krismas.