Somalia

Mapigano makali katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yameuwa watu 11 na kuwajeruhi 25 wengine.