UN yataja nchi zinazochochea ghasia DRC

Wabunge Kenya wasusia majadiliano ya kubuni mahakama nchini humo kusikiliza kesi dhidi ya watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi mkuu uliopita.UN yataja wanaochochea ghasia mashariki mwa DRC.