Kenya yapewa dola milioni 1.2

Benki kuu ya Dunia yatoa msaada wa dola milioni 1.2 kusaidia Kenya katika shughuli za kuhifadhi mazingira.Wanamgambo wa al-Shabab wataka WFP kukoma kupeleka misaada ya chakula Somalia.