Wakenya kupata msaada

Baraza la Mawaziri litaamua karibuni kuhusu pendekezo la kuwapa Wakenya wenye shida ya chakula Sh. 1,500 kila mwezi chini ya mpango wa Saidia Jamii.