Katiba kielelezo yazinduliwa Kenya

Katiba kielelezo yazinduliwa, na wakenya wapewa siku 30 kutoa maoni yao juu ya katiba hiyo.Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo zarejesha uhusiano wa kidiplomasia baada ya miaka 15.