Maharamia wa Somalia wateka  nyara Meli

Maharamia wa Somalia wateka nyara meli ya mizigo na wafanyikazi 22. Waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai na mawaziri wake wahudhuria kikao cha bunge.