Katiba kielelezo ya Kenya yapendekeza waziri mkuu mwenye mamlaka makubwa kuliko rais. Mbunge wa Starehe askofu Wanjiru asema maisha yake yamo hatarini.