polisi waweka ulinzi mkali Nairobi

Polisi waweka ulinzi mkali mjini Nairobi kufuatia kuuawa kwa msemaji wa kundi la Mungiki Gitau Njuguna Gitau,huku aliyekuwa kiongozi wao zamani Maina Njenga akisema anahofia maisha yake.