Kibaki ateuwa mkuu mpya Ikulu

Rais Mwai Kibaki ateuwa Nelson Githinji kuwa mkuu wa Ikulu. Nchi za Afrika zaahirisha mkutano wa umoja wa mataifa juu ya hali ya hewa mjini Barcelona.