mkakatati mpya kuzuiya maharamia nchini somalia hauwezi kutekelezwa

Ripoti mpya kuhusu maharamia nchini somalia inasema mkakati mpya wa kimataifa wa kuzuiya utekaji hauwezi kutekeleza kazi hiyo.