wabuynge wanawalaumu raia na wazir mkuu

Baadhi ya wabunge Kenya wanadai Rais Kibaki na Waziri Mkuu Odinga ni pingamizi katika kuwashtaki watuhumiwa wa ghasia. Jeshi la DRC latuhumiwa kutowatendea haki raia mashariki mwa nchi.