Kenya na Uganda watia saini mkataba wa reli

Kenya na Uganda zaitia saini mkataba wa ujenzi wa reli kati ya Mombasa na Kampala.Watu 20 wauawa na wanamgambo wa kiislam katika mji wa bandari wa Kismayu nchini Somalia.