Ringera atazamiwa kujiuzulu

Mkurugenzi wa tume ya kupambana na rushwa Kenya Jaji Aaron Ringera atazamiwa kutangaza kujiuzulu kwake wakati wowote sasa.Umoja wa Mataifa wasema maambukizo ya HIV na Ukimwi yanaongezeka