Mzozo juu ya Jaji Ringera waendelea

Makundi ya kutetea haki za kiraia Kenya yapanga kuchanga fedha kusaidia bodi ya ushauri ya kupambana na rushwa kutangaza nafasi ya kazi ya Jaji Ringera anayekabiliwa na mzozo.