Habari fupi

Mahakama kuu ya Zimbabwe inasema mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu Jestina Mukoko na mwenzake hawatashtakiwa kwasababu walipigwa na kuteswa wakiwa jela. Serikali ya kijeshi ya Guinea imepiga marufuku mkutano wa upinzani uliopangwa kufanyika leo huko Conakry.